Abdel fatah el kosary biography of martin
Abdel Fattah Saeed Hussein Khalil el-Sisi (kwa Kiarabu: عبد الفتاح سعيد حسين خليل السيسي; alizaliwa 19 Novemba ) ni mwanasiasa wa Misri ambaye ni Rais wa sita na wa sasa wa Misri. Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Ujasusi wa Jeshi, Waziri wa Ulinzi, na Jenerali.